Wanasheria wa pande zote wali wasilisha ushahidi wao mbele ya mahakimu wasaba wa mahakama ya upeo, kwa matumaini kuwa wataweza washawishi kuunga mkono hoja zao.
Kinara wa mrengo wa Azimio One Kenya, Raila Odinga ambaye aliwasilisha ombi lakubatilishwa kwa ushindi wa Dr William Ruto ame ahidi kukubali uamuzi wa mahakama naye Dr Ruto ameahidi kuyakubali maamuzi yamahakama pia.
Mwandishi wetu Jason Nyakundi, ana maelezo zaidi kuhusu hoja za wahusika pamoja na matukio mengine kutoka ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Bonyeza hapo juu kwa makala kamili.