Alipo hotubia umma, Rais Magufuli alisisitiza kuwa serikali yake haijamzuia mtu yeyote kuvaa barakoa, ila alitoa onyo kuhusu ubora wa baadhi ya barakoa zinazo uzwa.
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, Jumamosi alikabidhiwa uenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Afrika Mashariki (EAC) na mwenyekiti anayeondoka, Rais wa Rwanda, Paul Kagame.