Akizungumza katika mji wa Naivasha, Rais Ruto alisema uchaguzi ulifanywa mwaka jana na hakuna mtu yeyote anayeweza tafuta uongozi kwa kutumia damu ya wakenya na kuharibu mali.
Ruto amemtaka Bw Odinga asubiri hadi mwaka mwa 2027, wakati wa uchaguzi mkuu ujao na kwamba serikali haitaruhusu kufanyika kwa maandamano ya aina yoyote.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.