Rais Denis Sassou Nguesso wa Jamhuri ya Congo, alikuwa mwenyeji wa kondamano dogo lakujadili amani na usalama kandani kwa matumaini yakupata mwelekeo na suluhu kwa swala hilo kutoka viongozi wenza wenye uzoefu wakukabiliana na changamoto hizo.
Miongoni mwa waliohudhuria kongamano hilo walikuwemo ma rais, Yoweri Museveni wa Uganda, Felix Tshisekedi wa Jamhuri Yademokrasia ya Congo na Faure Gnassingbé wa Togo.
Bonyeza hapo juu kwa ripoti kamili kutoka kwa mwandhisi wetu Jason Nyakundi, kuhusu kongamano hilo na mengine mengi kutoka, Afrika Mashariki, kati na Magharibi.