RAO: "Hatuta wavumilia wanyonyaji tena"
Wagombea wa NASA Raila Odinga, na Kalonzo Musyoka wakiwaonesha cheti chaku gombea Urais toka kwa IEBC Source: Picha: AAP Image/AP Photo/Sayyid Abdul Azim
Punde baada yakupewa cheti rasmi cha mgombea wa urais wa Kenya toka kwa tume ya IEBC, mgombea wa vyama vya muungano wa NASA Raila Amolo Odinga, alitembelea eneo la Donholm jijini Nairobi ambako aliweka hatma yake ya urais mikononi mwa raia wa Kenya.
Share




