WIKI YA UPATANISHO

An Indigenous Australian woman cries in federal parliament as she listens to former PM Kevin Rudd deliver an apology to the Stolen Generations Source: AAP
Hii ni wiki maalumu kwa ajili ya upatanisho kati ya Waustralia wa asili na wasio wa asili. Juma la uupatanisho, kitaifa huadhimishwa kote Australia kila mwaka kati ya tarehe 27 Mwezi wa Tano hadi tarehe 3 Mwezi wa Sita. Kauli mbiu ya mwaka huu ni "kuambiana ukweli" na jukumu gani itasaidia katika upatanisho huo. Jean Paul Amedee Nizigama anatutaarifu zaidi.
Share