Ripoti zinazo tofautiana zime zuka kuhusu vurugu wakati wa pasaka ndani ya kizuizi cha uhamiaji katika Kisiwa cha Manus.
Wanaharakati wa wakimbizi wame andamana mjini Melbourne, ambako wame pinga madai toka kwa mamlaka kuwa risasi zilifyatuliwa hewani.
Wame ongezea kuwa kisa hicho kime onesha hatari ya kizuizi hicho nchini Papua New Guinea.
Maandamano yame shuhudiwa katika mitaa ya Melbourne, baada ya vurugu kuzuka tena ndani ya vituo vya vizuizi maelfu ya kilomita kutoka Australia.
Share





