Jolie Kaja aliamua kufanya kazi ya huduma ya wazee alipo wasili katika mji huo wa pwani miaka mitatu iliyo pita.
Mwanafunzi aliyekuwa mkimbizi ashinda tuzo ya taifa kwa huduma ya wazee
Jolie Kaja, baada yakupokea tuzo yake Source: Picha: SBS
Mkimbizi wa zamani kutoka Jamuhuri ya Demokrasia ya Congo amepewa tuzo yaki taifa kwa mchango wake katika mji wa Coffss Harbour ambao uko kaskazini ya NSW.
Share




