Wakimbizi sasa wanaweza pokea chanjo wakati wowote
Dr Fatin Toma, Alice Ewaz, Arman na Andre, na Ayad Ewaz Source: Picha: SBS
Chini ya mradi wa chanjo za taifa wakimbizi wa kila umri, sasa wanaweza pokea chanjo walizo kosa kabla. Hilo lita kuwa tatizo moja ambalo wakimbizi hawata kabiliana nalo tena.
Share
