Tetemeko hilo lilipiga eneo ambalo lili arithika na tukio hilo hilo miaka mitano iliyo pita, ambako tetemeko la ardhi lili sababisha tsunami kufunga kiwanda cha nyuklia. Madhara ya tukio hiyo yana endelea kusikika hadi leo.
Kwaku pata uelewa zaidi kuhusu tukio hili, SBS Swahili ilizungumza na mwanasayansi na mtaalam wa maswala ya baharini Jane Mbendo ambaye alifafanua zaidi.
