Chama cha Greens kimesema, kinaunga mkono kampeni yakubadili tarehe ya maadhimisho ya siku kuu ya Australia.
Madiwani wa chama cha Greens nchini kote wanazindua kampeni zakubadili maadhimisho hayo toka tarehe 26 januari, wameelezwa chama cha kitaifa cha Greens kitaunga mkono pendekezo lao.
Share

