Watafiti katika vyuo tofauti vya Afrika Mashariki, kwa ushirikiano na wenzao katika vyuo vya Australia, wame ongeza juhudi kutafutia janga hili suluhu yakudumu.
Watafiti wakabiliana na ukame Mashariki Afrika
Mtaalam wa maswala ya kilimo Dkt Richard Koech Source: ABC Australia
Sehemu nyingi za Afrika Mashariki zime kabiliwa na ukame ambao ume walazimisha wenyeji na mifugo kuhama wanako ishi.
Share




