Utafiri mpya wabaini, madereva wa usafiri-shiriki hunyanyaswa na kulipwa kima cha chini

Ride-share driver Raul Source: SBS
Utafiti mpya wa wafanyakazi wa Australia wanaoendesha safari-shiriki yaani magari ya Uber, umeonyesha uzoefu wa unyanyasaji, ubaguzi wa rangi, ripoti za uongo na malipo ya chini. Asilimia kumi wanasema wamenyanyaswa kimwili wakati wa kufanya kazi, wakati asilimia sita wameripoti unyanyasaji wa kijinsia. Wengi zaidi wanahangaika kifedha.
Share




