Shirika muhimu linalo wakilisha sekta yaku staafu nchini Australia limesema, ongezeko ya gharama ya maisha ya kila siku, lina ongeza kiasi cha hela zinazo hitajika mtu anapo staafu.
Chama cha mfuko wa fedha za ustaafu cha Australia, kime wahamasisha wa Australia waongeze mchango wao wa fedha katika mfuko wa mafao yaku staafu, hata hivyo ombi hilo halija ungwa mkono na kila.
Share





