Katika mazungumzo maalum wakati wa kongamano lakutoa heshima za mwisho kwa marehemu Rais Peter Nkurunziza, mwanachama wa jamii yawarundi Rosalia, ameihamasisha serikali mpya ya Jenerali mstaafu Evariste Ndayishimiye, ichukulie hatua kali unyanyasaji wakijinsia wa wanawake nchini Burundi.
Rosaria "Serikali mpya ya Burundi ikabiliane na ongezeko la unyanyasaji wa wanawake nchini"

Evariste Ndayishimiye alakiapo cha kuwa Rais mpya wa Burundi Source: Getty Images
Uongozi wa Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi, umeanza chini ya wingu la kifo cha ghafla cha rais Peter Nkurunziza, pamoja na wimbi la matarajio mengi kutoka kwa raia wa taifa hilo.
Share