Bi Rosemine Mutamuliza ni afisa katika kituo cha Hillview Intercultural Community Centre, ambacho kiko katika halmashauri ya jiji la Canning, Magharibi Australia.
Bi Rosemine, alieleza SBS Swahili jinsi jamii inaweza faidi kupitia kituo cha Hillview Intercultural Community Centre, pamoja na fursa zingine ambazo zipo Magharibi Australia kwa wanachama wa jamii.