Rshino Legrand ni msanii jimboni Queensland, Australia ambako amekuwa akipeperusha bendera ya mziki wa Rhumba. Katika mahojiano maalum na SBS Swahili, alifunguka kuhusu harakati zakukuza mziki huo pamoja na mapokezi ya mziki huo Queensland.
Rshino Legrand afunguka kuhusu mapokezi ya mziki wa Rhumba Queensland

Rshino Legrand, msanii wa mziki wa Rhumba, Queensland, Australia Source: SBS Swahili
Mziki wa Rhumba umekita mizizi nchini DR Congo 7kwa miaka mingi, na ni moja ya utambulisho wa taifa hilo la kanda ya Afrika ya Kati.
Share