Baada ya mamlaka husika kuruhusu msimu huo kuendelea, vilabu vingi vilijipata pahali pabaya kupona mtego wakushushwa kutoka ligi kuu ya soka ya Uingereza.
Mwandishi wetu Frank Mtao pamoja na mchambuzi wa michezo Gabriel, walifunguka kuhusu changamoto inayo kabili Aston Villa timu ya nahodha wa Tanzania mshambuliaji Mbwana Samatta.
Aston Villa ilijipata katika hali ambapo ilihitaji ushindi au kutoka sare, wakati huo huo ikiwaombea mabaya wapinzani wao wakaribu Watford washindwe ili waweze pona mtego wakushushwa kutoka ligi kuu. Bofya hapo juu kwa uchambuzi kamili.