Licha ya athari hizo kwa biashara kampuni ya Sasa Care, ime amua kukubali ombi lakuwa mdhamini wa kombe la Afrika mwaka huu.
Katika mazungumzo maalum na Idhaa ya Kiswahili ya SBS, Mkurugenzi Mkuu wa Sasa Care Zeah, aliweka wazi kilicho mshawishi akubali ombi lakudhamini michuano hiyo.