Baada ya tathmini ya huduma ya Radio ya SBS, lugha saba mpya ziki jumuisha; Rohingya, Tibetan na Telugu, zita pewa vipindi vyao binafsi katika radio ya SBS, wakati baadhi ya vipindi vingine vina sitishwa.
Lengo la mabadiliko hayo, niku tosheleza mahitaji ya jamii ya Australia ya leo.
Share






