Katika makala ya leo kuna:
Taarifa mpya za habari
Taarifa mpya kutoka sehemu kadhaa za bara la Afrika, kutoka studio zetu za Nairobi, Kenya.
Makala kuhusu jinsi Australia inawapokea wanafunzi wakimataifa wanao rejea nchini tena baada ya takriban miaka mbili.
Mahojiano na wahanga wa mafuriko ya Queensland, ambao wame weka wazi walivyo jinusuru pamoja na familia zao.