Katika makala ya leo kuna:
Taarifa mpya za habari za Australia.
Taarifa mpya za habari kutoka Afrika Mashariki na Kati mubashara, kutoka studio zetu za Nairobi, Kenya.
Taarifa kuhusu tamasha ya Africultures Festival, iliyo andaliwa baada ya miaka mbili ya vizuizi vya UVIKO-19 vilivyo kuwa vime sababisha marufuku ya tamasha hizo.
Makala maalum kuhusu upatikanaji wa makaazi ya bei nafuu, na changamoto za kujenga nyumba nchini Australia.