Katika makala ya leo kuna:
Taarifa mpya za habari
Taarifa mpya kutoka sehemu kadhaa za bara la Afrika, mubashara kutoka studio zetu za Nairobi, Kenya.
Makala kuhusu jinsi yakujiandikisha kupiga kura Australia
Mahojiano na baadhi ya wapiga kura, kuhusu kitakacho shawishi kura zao katika uchaguzi mkuu ujao.