Katika makala haya kuna:
- Taarifa mpya za habari za Australia, na kutoka kanda za Afrika Mashariki na Kati.
- Makala kuhusu jinsi yakupata msaada, mpendwa wako anapokuwa na uraibu wa kamari.
- Mahojiano na Bw Ben Mulwa, mgombea wa urais wa Kenya wa zamani, kuhusu matokeo ya uchaguzi mkuu na kilicho mnyima ushindi Raila Odinga kinara wa mrengo wa Azimio One Kenya.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.