Katika makala ya leo kuna:
Taarifa mpya za habari za Australia.
Taarifa mpya za habari kutoka Afrika Mashariki na Kati mubashara, kutoka studio zetu za Nairobi, Kenya.
Mahojiano mubashara kuhusu uteuzi wakihistoria wa wagombea wenza, wa mirengo miwili mikubwa ya siasa nchini Kenya.
Makala maalum kuhusu siku za mwisho za kampeni ya uchaguzi mkuu nchini Australia, pamoja na makala maalum kuhusu jinsi yakupiga kura.