Katika makala ya leo kuna:
Taarifa mpya za habari za Australia, na kutoka Afrika Mashariki na Kati.
Makala kuhusu jinsi na sababu zaku tumia namba ya dharura yataifa 000.
Mahojiano na Bw Theophile Elongo, mwenyekiti wa shirika la ASSIDA linalo wahudumia wakimbizi. Bw Elongo alizungumzia baadhi ya miradi ambayo shirika lake linasimamia kwa vijana, na jamii kwa ujumla.
Mahojiano na Bw Djuma ambaye ni mmoja wa viongozi wa timu ya mpira wa miguu ya vijana kutoka DR Congo, wanao ishi Sydney, Australia kuhusu maandalizi na matokeo ya kombe la uhuru wa DR Congo waliyo andaa hivi karibuni.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.