Katika makala ya leo kuna:
Taarifa mpya za habari za Australia, na kutoka Afrika Mashariki na Kati.
Makala kuhusu nyongeza kwa mshahara wa wafanyakazi wa umma nchini Australia.
Makala kuhusu matukio ya Wiki Yawakimbizi nchini Australia.
Mahojiano na Fiston Kiza, kuhusu mafanikio na changamoto zaku jiundia ajira jimboni Queensland.