Unaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
Katika makala ya leo kuna:
Taarifa mpya za habari
Taarifa mpya kutoka sehemu kadhaa za bara la Afrika, mubashara kutoka studio zetu za Nairobi, Kenya.
Taarifa kuhusu matukio ya siku ya ANZAC na umuhimu wake Australia.
Makala kuhusu kampeni za uchaguzi mkuu, wagombea wakiendelea kuuaza sera zao nakuwakosoa wapinzani wao kila wanapo pata fursa.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






