Katika makala ya leo kuna:
Taarifa mpya za habari za Australia, na kutoka Afrika Mashariki na Kati.
Makala kuhusu mbinu gani bora yakupasha joto nyumbani.
Mahojiano na Bw Alfred Koech, mwanariadha mstaafu mwenye asili ya Kenya. Bw Koech alizungumzia masaibu yanayo wakumba wanariadha wengi haswa, kwa swala la mapato nakumudu mahitaji yao binafsi pamoja na familia zao. Bw Koech alizungumzia pia ushawishi ambao wanariadha wengi wanapata kuwakilisha mataifa mengine, badala ya nchi zao za asili.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.