Katika makala ya leo kuna:
Taarifa mpya za habari
Makala kuhusu msimamo wa serikali ya Australia pamoja na upinzani katika mgogoro wa kati ya Urusi na Ukraine.
Makala kuhusu jinsi yakumlea mtoto anaye zungumza lugha mbili nchini Australia.
Taarifa mpya kutoka sehemu kadhaa za bara la Afrika kutoka studio zetu za Nairobi, Kenya