Katika makala ya leo kuna:
Taarifa mpya za habari za Australia.
Taarifa mpya kutoka sehemu kadhaa za bara la Afrika, mubashara kutoka studio zetu za Nairobi, Kenya.
Taarifa kuhusu sherehe za Eid kutoka sehemu mbali mbali za dunia.
Mahojiano na wakenya wanao ishi Australia, walio tueleza wanavyo mkumbuka aliye kuwa rais wa tatu wa Kenya hayati Mwai Kibaki.