Katika makala ya leo kuna:
Taarifa mpya za habari za Australia.
Taarifa mpya za habari kutoka Afrika Mashariki na Kati mubashara, kutoka studio zetu za Nairobi, Kenya.
Mahojiano na Bw Luundo Rajabu kuhusu sababu yakufungua shule, inayo funza ujuzi wa mbinu zakuokoa maisha na mapokezi ya jamii kwa mafunzo hayo.
Mahojiano na Bw Lazaro kuhusu huduma ambazo shirika la ECCQ hutoa kwa jamii, na mbinu wanazo tumia kuhamasisha jamii kufanya vipimo vya afya.
Mahojiano na wajasiriamali kwenye tamasha yawa Afrika jimboni Queensland, pamoja na mapokezi kwa bidhaa zao katika jamii.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.