Katika makala haya kuna:
- Taarifa mpya za habari za Australia, na kutoka kanda za Afrika Mashariki na Kati.
- Mahojiano na mtaalam wa IT Bw Yves, kuhusu jinsi wateja wanaweza linda data zao mtandaoni dhidi ya udukuzi, pamoja na masaibu ya wateja wa Optus ambao data zao zime vujwa hivi karibuni.
- Mahojiano na Mchungaji John Mucunda pamoja na kiongozi wa vijana Bw Yves, kuhusu hatua ya wachungaji wamakanisa yawa Afrika wenye asili ya Afrika ya kati kuungana kufanya kongamano na ibada ya pamoja. Bw Yves naye alifunguka kuhusu umuhimu wa vijana kujumuisha katika ibada hizo pamoja na nafasi yao kanisani.
- Uchambuzi wa makala ya michezo nchini na kimataifa.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.