Katika makala ya leo kuna:
Taarifa mpya za habari za Australia, na kutoka Afrika Mashariki na Kati.
Makala kuhusu Wiki ya NAIDOC na taratibu zinazo husika katika sherehe zaukribisho katika nchi.
Makala kuhusu matukio ya Wiki Yawakimbizi nchini Australia.
Mahojiano na viongozi wa jamii za wa Tanzania na DR Congo wanao ishi jimboni Queensland, kuhusu ukaribisho wa DR Congo katika jumuiya ya Afrika Mashariki, na maana ya hatua hiyo kwa raia wa nchi wanachama wa Jumuiya hiyo.
Mahojiano na Bw Eshima, kuhusu uamuzi wake wakuacha kazi zakuajiriwa naku fungua biashara yake binafsi jimboni Queensland.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.