Katika makala ya leo kuna:
Taarifa mpya za habari za Australia.
Makala kuhusu nyongeza kwa mshahara wa wafanyakazi wa umma nchini Australia.
Mahojiano na Dr Sababu Kaitila kiongozi wa jamii yawa Tanzania wanao ishi Brisbane, pamoja na Bw Mike Fidel, kiongozi wa jamii yawatu kutoka DR Congo wanao ishi Brisbane. Wawili hao walizungumza kuhusu maswala ya uongozi, pamoja nakutoa mapendekezo yakutatua sababu zautata zinazo tumiwa kuwanyima baadhi ya wanachama wajamii zao kazi jimboni Queensland.
Mahojiano na msanii Luundo Radjabu kuhusu, maandalizi ya uzinduzi wa album yake kwa jina la; "Ni wakati".
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.