Katika makala haya kuna:
- Taarifa mpya za habari za Australia, na kutoka kanda za Afrika Mashariki na Kati.
- Makala kuhusu jinsi mizio inavyo dhibitiwa katika shule nchini Australia.
- Mahojiano na wawakilishi wa mirengo mikuu yakisiasa nchini Kenya, walio funguka kuhusu fursa za ushindi wa wagombea wao katika uchaguzi mkuu wa Kenya.
- Mahojiano na afisa wa zamani wa tume ya uchaguzi ya Kenya, aliye zungumzia taratibu za uchaguzi pamoja na dhana potovu ambazo husambaa katika vyombo vya habari na mtandaoni wakati wa chaguzi mbali mbali.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.