Aliyesoma na Bilionea afunguka

Source: The East African
Ali Mufuruki (1959 ) alikuwa ni mfanyabiashara wa Tanzania, mtunzi, mwanzilishi na mwanachama wa bodi za mashirika mbalimbali. Alikuwa ni mwanzilishi wa kampuni ya uwekezaji Infotech, mkurugenzi mtendaji wa muungano wa Wakurugenzi Tanzania na Africa Leadership Initiative (ALI) Africa Mashariki, mwenyekiti wa bodi ya kampuni ya simu Tanzania Vodacom Tanzania na Wananchi Group Holdings, mdhamini wa Taasisi ya Mandela ya tafiti za maendeleo (MINDS) na Mtunzi Msaidizi wa kitabu cha Tanzania's Industrialization Journey, 2016–2056. Alifariki tarehe 7 Disemba 2019 Jumamosi katika hospitali ya Morningside mjini Johannesburg, Afrika Kusini. SBS Swahili iliongea na mmoja wa waliyesoma naye na alikuwa na haya ya kusema.
Share