Baada yaku kabiliwa kwa wiki kadhaa za ukosoaji kuhusu jinsi alivyo shughulikia dharura ya moto wa vichaka, waziri mkuu Scott Morrison ametangaza kuwa atachukua pendekezo lakuanzisha tume yakifalme yauchunguzi kwa moto huo wa vichaka katika kikao cha baraza la mawaziri.
Bw Morrison alidokeza pia uwezekano wamabadiliko katika sera ya mazingira ya serikali, hata hivyo kuna baadhi ya watu ambao bado wana mashaka kuhusu mageuzi hayo.
Share





