Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Scott Morrison ataka serikali zamajimbo zisaidie kupunguza bei ya nyumba

Ajenti wa nyumba akijaribu kuuza nyumba
Ajenti wa nyumba akijaribu kuuza nyumba Source: Fiona Morris

Umiliki wa nyumba ni moja ya ndoto zawa Australia wote, ila kwa wengi wao hali hiyo itasalia kuwa ndoto tu.


Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


Umiliki wa nyumba ni moja ya ndoto zawa Australia wote, ila kwa wengi wao hali hiyo itasalia kuwa ndoto tu.


Serikali ya shirikisho imekiri kuwa wa Australia wengi wanalemewa na swala laku nunua nyumba yao ya kwanza.

Alipozungumzia swala hili, mweka hazina wa taifa Scott Morrison amesema kwamba bei ya nyumba inaweza pungua iwapo nyumba zitapatikana kwa urahisi.

Bw Morrison amelaumu kanuni tata za mipango, kwaku ongeza bei ya nyumba. Amezihamasisha pia serikali za majimbo, kuachia ardhiya ziada kwa ajili yaku rahisisha tatizo hilo.

 

 


Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now