Ila wataalam wa usalama wa mtandaoni wame zua wasi wasi kuhusu, usalama wa mfumo wakupigia kura mtandaoni.
Wasiwasi waibuka kuhusu mfumo wakupiga kura mtandaoni NSW

Watu wapiga kura katika mbinu yakitamaduni Source: AAP
Mwezi ujao katika uchaguzi mkuu wa NSW, inakadiriwa kuwa takriban nusumilioni yawatu wanatarajiwa kukwepa foleni katika vituo vyakupiga kura, na badala yake watapigia kura mtandaoni.
Share




