Data ya sensa iliyo chapishwa wiki hii, ime thibitisha kuwa Australia ina shuhudia ongezeko kubwa la maendeleo ya watu wanao acha dini.
Takwimu zilizo chapishwa, zimedokeza kuwa watu wanao jizingatia kuwa “hawana dini”, wanaweza kuwa kundi la watu wengi katika miaka ijayo, nakuwapiku wakristo.
Katika dini zenye wafuasi wachache nchini, dini laki Hindu lime shuhudia ukuaji mkubwa ambao ume chochewa na uhamiaji. Kupanga kwa mabadiliko ya idadi ya watu wetu.
Share






