Moja ya tangazo lililo zua hisia mseto zaidi, ni tangazo la wasafiri wenye vitu vyenye thamani zaidi ya $500 za Marekani, wata tozwa ushuru.
Bw Ekesa ni raia wa Kenya anaye ishi nchini Australia, katika mazungumzo maalum na SBS Swahili aliweka wazi hisia zake kuhusu sera hiyo ya ushuru na athari zake haswa kwa wanadiaspora na familia zao.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.