Jibu la serikali limejiri inapo kabiliwa kwa shinikizo ishughulikie usalama wa wanawake, baada ya madai kadhaa ya ubakaji na unyanyasaji wakijinsia.
Waziri wa usalama wa wanawake Anne Ruston anawahamasisha watu wajisajili kwa kongamano la usalama wa wanawake la Julai, na wawasilishe mawazo yao.