Matokeo ya uchaguzi huu yata toa nafasi za wambunge 150 ndani ya nyumba yawa wakilishi, 76 ndani ya seneti na hatimae yata baini atakaye kuwa kiongozi wa taifa.
Je uchaguzi mkuu huamuaje serikali itakayo ongoza taifa? Mtangazaji wetu Frank Mtao ana maelezo zaidi.
