Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Mwongozo wa Makazi:Taarifa kuhusu mchakato wakutoa viungo vya mwili Australia

Semeama

Semeama Source: Picha: Semeama

Je wajua kama unatoa viungo vya mwili wako unapo aga dunia, unaweza okoa maisha au kuboresha maisha ya angalau watu kumi?


Published

Updated

By SBS Swahlii

Source: SBS




Share this with family and friends


Je wajua kama unatoa viungo vya mwili wako unapo aga dunia, unaweza okoa maisha au kuboresha maisha ya angalau watu kumi?


Wakati kuna maelfu yawa Australia ambao wana subiri katika orodha ya wanao hitaji viungo vya mwili naku pokea matibabu tofauti, ni muhimu kwa watu wengi zaidi kutoa viungo vyao.

Kwa maelezo ya ziada boyfa hapa: www.donatelife.gov.au.

 

 


Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now