Mwongozo wa Makazi: Mageuzi kwa viza za Australia: Unastahili tarajia nini 2018 2018

Viza ya Australia ikiwa ndani ya pasi ya Uingereza

Viza ya Australia ikiwa ndani ya pasi ya Uingereza Source: Getty Images


Baadhi ya mageuzi hayo yame thibitishwa tayari, wakati mengine yata fanyiwa uamuzi baadae.

Mageuzi hayo yanaweza wa athiri watu wengi wanao omba viza za kufanya kazi, kujiunga na wachumba wao na hata wazazi.

Kwa hiyo ni mageuzi yapi yanayo tarajiwa mwaka huu wa 2018?

Hata kama tuna fununu kuhusu mageuzi ya viza yanayo jiri mwaka huu, baadhi ya mageuzi hayo yanaweza badilishwa tena.

Iwapo unadhani unaweza athiriwa na mageuzi hayo, endelea kutembelea tovuti ya idara ya mambo ya ndani anwani yake ikiwa ni: www.homeaffairs.gov.au ambako utapata taarifa mpya kila mara.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service