Wagonjwa kutoka mazingira mbali mbali wanakabiliana na changamoto za ziada, hususan katika swala laku gundua ungojwa huo mapema, pamoja nakupata msaada unao stahili kukabili mahitaji yao.
Wauguzi na wataalam wa afya wame pendekeza matumizi ya mbinu zaki tamaduni zaku kabiliana na ugonjwa huo wa dementia.
