Mwongozo wa Makazi: Je wajua lakufanya kwenye mnada?

Wanunuzi wa nyumba wachunguza bango la mnada

Wanunuzi wa nyumba wachunguza bango la mnada Source: Picha: Getty Images

Wito wa mwana mnada akisema kwa kimombo Going one, going twice, sold! ni kawaida katika nyumba nyingi zinazo uzwa nchini Australia.


Mbinu moja maarufu yaku nunua nyumba nikupitia mnada ila, kuna mitego mingi kwa watu ambao hawa elewi masharti na wana weza salia na makosa yenye gharama kubwa.

Frank Mtao ana maelezo ambayo yanaweza kusaidia kufanikiwa kwenye mnada.

 

 


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service