Kuanza kwenda shuleni ni hatua muhimu sana kwa watoto, na familia zao kuanza kutulia na kuyazoea mazingira ndani ya Australia.
Watoto wa wahamiaji mara nyingi hukabiliana na mazingira magumu wanapokuwa wanajiunga na mazingira mapya ya shule.
Wazazi wamekuwa na msaada mkubwa sana katika elimu ya watoto wao na wataalamu huwahamasisha kufuatilia maendeleo ya watoto wao shuleni.
Share
