Watch FIFA World Cup 2026™ LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Mwongozo wa Makazi: Jinsi yakupata fursa ya mafunzo ya kazi Australia

Vijana wajifunza kazi ya upishi

Vijana wajifunza kazi ya upishi Source: Getty Images

Kwa wahamiaji wachanga, mafunzo ya kazi ni njia bora yaku anza kazi wanayo taka nchini Australia.


Mafunzo ya kazi inajumuisha muda ulio tumia katika kazi uliyo lipwa kufanya pamoja na mafunzo na inaweza kamilishwa kwaku ifanya pole pole, katika muda ulio afikiwa au ukiwa bado shuleni.


Share

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now